Asasi 7 zakunwa Katiba 'mpya'
MUUNGANO wa Asasi za Kiraia Juu ya Jinsia na Katiba (GFC), umesema Katiba Inayopendekezwa imezingatia mapendekezo yao kwa zaidi ya asilimia 90, hasa katika usawa wa kijinsia na haki za watoto. Aidha, umewataka wananchi kuacha ushabiki wa kisiasa na kufuata mkumbo wa kuipinga badala yake waisome na kuichambua kila kipengele ili waielewe.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania