ASKOFU KKKT IRINGA DKT MDEGELA ATAKA'UKAWA' WASIRUHUSIWE KUENEZA CHUKI NCHINI, AWATAKA WAREJEE BUNGENI AMA WAFUNGASHE VIRAGO WARUDI NYUMBANI ASEMA SERIKALI NI MBILI PEKEE
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela
Wachungaji na msaidizi wa Askofu kulia wakifuatilia salam za pasaka zilizokuwa zikitolewa na askofu Dkt. Mdegela
Waumini wa KKKT usharika wa kanisa kuu Iringa leo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Na Francis Godwin, Iringa
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada ya Jumapili ya Pasaka leo kulaani vikali wale wote wanaowatukana...
Michuzi