Aswar Sunn waswali Idd leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar

Waumini wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam,wakiwa wamejumuika pamoja kwenye viwanja vya Jangwani jijini kwa swala ya Idd el Hajj mapema leo asubuhi.Waislam hawa wanaungana na wenzao waliopo kwenye Idada ya Hija huko Makka.
Waumini wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam wakisoma dua mara baada ya Swala ya Idd el Hajj iliyoswaliwa mapema leo asubuhi kwenye viwanja vya Jangwani,jijini.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
ASWAR SUNNA WASWALI IDD LEO KWENYE VIWANJA VYA JANGWANI JIJINI DAR
10 years ago
MichuziANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
10 years ago
GPLANSWAR-SUN WASWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboSWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
GPLSWALA YA IDD EL HAJI ILIVYOFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi
Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumapili viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam



11 years ago
Michuzi
Swala ya Eid El Fitr kitaifa yaswaliwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar leo




Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika...
10 years ago
Habarileo23 Aug
Magufuli kunguruma viwanja vya Jangwani leo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.
10 years ago
GPL
KOMBANI ALIVYOAGWA LEO VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR!