Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASYA IDAROUS KHAMSINI AFANYAONESHO LA VIVAZI PANAFEST SILVER SPRING, MARYLAND.

Gwiji la mitindo kutoka Tanzania Asya Idarous Khamsini akiwa kwenye tamasha la Pan African lililofanyika katikati ya mji wa Sliver Spring siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTION.Asya Idarous Khamsini akiwa na walibwende wake katika picha ya pamoja.




Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MR TZ APEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA TAMASHA LA PANAFEST DOWNTOWN SILVER SPRING

 Mr. TZ akifanya makamuzi ya nguvu kwenye tamasha la Pan African lililofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Downtown Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu kutoka mataifa mbalimbali. Mr. TZ akifanya vitu vyake.Mr. TZ akipeperusha bendera ya TanzaniaUmati ukifuatilia makamuzi ya Mr. TZMwimbaji wa nyimbo za injili DMV Rose Kachuchulu (nyuma ya binti yake kushoto) akifuatilia tamasha

 

9 years ago

Michuzi

ASYA IDAROUS KHAMSINI ANOGESHA SIKU YA MTANZANIA SEATTLE

Walimbwende wakiwa tayari kufanya vitu vyao wakiwa na vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Mlimbwende akiwa kwenye kivazi kutoka kwa mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Kivazi chekundu kikiwa na riboni ya punda milia kikimfanya mlimbwende...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC

 Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akisalimiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26, 2015 siku gwiji hilo la mitindo alipotembelea ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 Asya Idarosu Khamsini atafanya onesho la khanga Durham, North Carolina. Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akipata picha ya kumbukumbu na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26,...

 

10 years ago

Vijimambo

VIJIMAMBO NA ASYA IDAROUS KHAMSINI IWATOA SHUKURANI SANA KWA MANANC


 Watanzania wa North Carolina wakipata picha ya kumbukumbu kwenye khanga party iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 mji wa Durham, North C Mashabiki wa mama wa mitindo wakipata picha ya kumbukumbu na Asya Idarous Khamsini  Picha ya kumbukumbu Mashabiki wakiselebuka
 Ni hapi kwa kwenda mbele Watanzania wa NC wakipata picha ya pamoja kwenye Khanga partyKitambaa cheupe

 

10 years ago

Michuzi

MAMAA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI KUFANYA ONESHO LA KHANGA PARTY JUMAMOSI AUG 29, 2015, DURHAM, NC


Kwa mara ya kwanza katika historiainakuletea Khanga Party Khanga Fashion show kutoka kwa mama wa mitindo Asya Idarous Khmasin siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 ndani ya kiota THE VAULT AT PALACE
ANUANI1104 BROAD STDURHAM NC 27705
Khanga Party ndani ya Durham North CarolinaKiingilio ni $ 20Couple $30Ladies with Khanga outfit $10 B4 11pmMusic By Dj LukeMilango itakua wazi kuanzia 8pm-3am Khanga Fashion show itaanza kuanzia saa 9pm mpaka 10pm baada ya hapo ni Rhumba mpaka saa 3qmKaRiBuNi 

 

11 years ago

Vijimambo

MISA YA SHUKURANI YA EDGAR MUTTA SILVER SPRING, MARYLAND

Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokua yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya shukurani ikiendelea.Kulia ni Adrian Mutta na mama yake wakiendelea na misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 27, 2014.Judith na Liberata (kulia) wakifuatilia...

 

10 years ago

Vijimambo

PAN AFRICAN FESTIVAL YAFANA SILVER SPRING, MARYLAND

Bendera za nchi za Afrika zikiwakilisha kwenye tamasha la Panafest lililofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Downtown, Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na watu kutoka mataifa mbalimbali. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTIONMamiss Afrika waliohudhuria tamasha hilo akiwemo mshindi wa pili wa miss Tanzania USA Aziza Gama (kati) wakitambulishwa kwenye kadamnasi iliyokuwepo kwenye tamasha hilo la aina yake lililofanyika katikati ya mji.Haririet Shangarai ambae ni mmoja ya waandaaji...

 

10 years ago

Vijimambo

SOUTHERN AFRICA BAZAAR YAFANYIKA SILVER SPRING, MARYLAND MAREKANI

 Mdau kutoka Uganda akiwa kwenye maonesho yaliyobeba jina la  Southern Bazaar yaliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 8, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani nchi nyingi kutoka kusini mwa Afrika zilishiriki ikiwemo Tanzania. Mdau mwakilishi kutoka Lesotho akiwakilisha nchini yake kwenye maonesho hayo ya Southern Bazaar yaliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 8, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Wawakilishi wengine kutoka nchi kusini mwa Afrika wakiwa kwenye maonesho ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani