AT: KITAELEWEKA MAHAKAMANI
Mkali wa Mduara anayewakilisha pande za Zanzibar, AT. MKALI wa Mduara anayewakilisha pande za Zanzibar, AT amesema kuhusiana na ishu ya madai inayomkabili, ameiachia mahakama hivyo kila kitu kitaeleweka huko. Machi 10, mwaka huu AT alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni kujibu kesi iliyofunguliwa na jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Salum Abdallah ambaye anadai alikuwa ni mganga ambaye anasema anamdai msanii huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Yanga, Azam FC kitaeleweka
MICHUANO ya soka Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar
Abdul Mkeyenge
9 years ago
Habarileo25 Oct
Kocha Mbeya City aamini kitaeleweka kibao
KOCHA wa muda wa Mbeya City, Abdul Mingange, amesema kukosa wachezaji wenye uzoefu ndiyo sababu ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye mechi zao za Ligi Kuu Tanzania Bara.