August 15-16, 2015 - Tanzania Passport Renewal Service in Southern California
Afisa ubalozi atakuwepo hapa jijini kwa ajili ya kubadilisha passport siku za Jumamosi na Jumapili.
Muhimu sana, nimesisitiziwa, kila mmoja ambaye atatumia huduma hizi asome kwa uangalifu hizi requirements (attached), tafadhali.
Huduma itatolewa kwenye anuani ifuatayo:20700 Ventura Blvd., Suite 205, Woodland Hills, CA 91403
Jumamosi - August 15, 2015 - kuanzia saa tisa mchana hadi saa kuminambili jioni (3pm - 6pm)Jumapili - August 16, 2015 - kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na mbili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo.jpg)
TANZANIA PASSPORT RENEWAL — 2015
.jpg)
For any question please contact TAA: watanzania.atlanta@gmail.com Tel: 678-362-8238 or...
10 years ago
Michuzi.jpg)
TANZANIA PASSPORT RENEWAL IN THE US — 2015
.jpg)
RSVP to guarantee spot: http://bit.ly/1JMQ5q1
10 years ago
Michuzi
TANZANIA PASSPORT RENEWAL — 2015, OHIO

For any question please contact Tanzania Columbus Community Association (TCCA): jumuiyatanzaniaohio@yahoo.comTel: 614-378-8655,...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
PASSPORT RENEWAL SEATTLE, WASHINGTON STATE

Watanzania mbali mbali wa maeneo tajwa wamejitokeza kujiandikisha kwa ajili ya zoezi hili. Ada ya malipo kwa ajili ya kumleta ofisa wa ubalozi kila mshiriki ni US $45. Jumuiya inatoa shukrani za dhati kwa wale wote ambao wamesha wasilisha ada hiyo. Pia Jumuiya inawaomba wale wote ambao...
10 years ago
Michuzi20 Aug
10 years ago
Michuzi27 Aug
10 years ago
Vijimambo