Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT: EE MUNGU NIJAALIE NIJIFUNGUE SALAMA

Na Imelda Mtema
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa ametibuka kutokana na ujauzito mkubwa alionao,  ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu yamekuwa yakimtisha. Msanii wa filamu Aunt Ezekiel. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar, Aunt alisema kuna watu ambao wamekuwa wakimuombea mabaya kutokana na chuki zao lakini yeye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel: Naomba Mungu Nijifungue Salama, Sababu Watu….

Staa wa  Bongo Movies, Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa  ni mjamzito ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu yamekuwa yakimtisha.

Akizungumza na gazeti la Ijumaa hivi karibuni nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar, Aunt alisema kuna watu ambao wamekuwa wakimuombea mabaya kutokana na chuki zao lakini yeye anaamini Mungu ndiye kila kitu kwake.

“Wapo watu ambao wanaisengenya mimba yangu, wananisema vibaya, wananiombea mabaya kiasi cha...

 

10 years ago

GPL

MJANE: UKIPATA AJALI UKATOKA SALAMA MSHUKURU MUNGU!

Na Mwandishi Wetu
“SIKUAMINI kama kungekuwa na siku ndoto ya maisha yangu ingebadilika na kufikia hatua hii ya mateso yasiyo na ukomo, kwa sasa shughuli zangu zote zimesimama nimekuwa mtu wa kuishi kwa kuombaomba ndani ya miaka minne”
Hivyo ndivyo mkazi huyu wa Tandika Azimio, jijini Dar es Salaam, Luna Hassan Mwampyati (34) alivyoanza kuelezea mkasa wa ajali aliyopata na kupoteza kiganja cha mkono wake wa...

 

11 years ago

GPL

KAMA WEWE UMEJIFUNGUA SALAMA, MTOTO WAKO NI MZIMA MSHUKURU MUNGU

Makala Makongoro Oging’
DUNIANI kuna mengi kiasi kwamba kama mama  umebeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua mtoto salama na mtoto wako ni mzima unapaswa kumshukuru Mungu kwani kuna watu ambao wanapata usingizi wa mang’amung’amu kutokana na mateso ya watoto wao. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) akilia kwa maumivu anayoyapata. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata...

 

11 years ago

GPL

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani