Azam FC yanogewa kileleni
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amewataka wachezaji wake kutoridhika na ushindi wa mabao 4-2, walioupata dhidi ya JKT Ruvu, badala yake waongeze juhudi ili waweze kunyakua ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo31 Dec
Azam FC yarudi kileleni
TIMU ya soka ya Azam FC imefanikiwa kurudi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro katika pambano lililofanyika Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Azam yakaa kileleni
9 years ago
Habarileo30 Dec
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Azam yaiporomosha Yanga kileleni
NA JENIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
TIMU ya Azam FC imeitibulia Yanga kwa kuitoa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuifunga Mtibwa Sugar bao 1-0 na kukwea juu yao katika mchezo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo, Azam wamefikisha pointi 35 wakiishusha Yanga nafasi moja ambao wana pointi 33 katika msimamo wa ligi hiyo.
Lilikua bao la mshambuliaji John Bocco, ambalo lilitosha kuirejesha Azam kileleni, baada ya kufunga bao pekee...
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Azam kuitoa Yanga kileleni?
9 years ago
Habarileo30 Oct
Azam yaitoa Yanga kileleni
AZAM jana ilishika usukani wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya JKT Ruvu. Mchezo huo uliokuwa na ushindani wa hali ya juu ulifanyika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, ambapo hadi mapumziko washindi walikuwa mbele kwa mabao 2-1.
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Azam yaipumulia Yanga kileleni
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Azam yaifuata Yanga kileleni
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Azam yaishusha Yanga kileleni
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), Azam FC, jana walirejea kuongoza ligi kwa kishindo baada ya kuibamiza bila huruma Mtibwa Sugar mabao 5-2 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex.
Kwa matokeo ya jana, Azam imefikisha pointi 25 sawa na Yanga lakini zikiwa zimetofautiana kwa mabao ya kufunga na kufungwa.
Azam ilianza kupata karamu hiyo ya mabao kupitia kwa mshambuliaji wake wa kimataifa, Didier Kavumbagu dakika ya 19,...