BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA UKONGA,WANANCHI WAMPONGEZA JERRY SILAA NYUMBANI KWAKE.
Wananchi wa Jimbo la Ukonga wamempongeza nyumbani kwake mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea,Jerry Silaa.Silaa aliibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October 25.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuziwapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga
10 years ago
MichuziMEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Dokta Seif aanguka Rufiji, Silaa apeta Ukonga kura za maoni CCM
10 years ago
MichuziMBENA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO KUSINI
WABUNGE wanne wa zamani katika majimbo ya mkoa wa Morogoro wamefanikiwa kutetea nafasi zao kwenye uchaguzi wa kura za maoni zilizofanyika Augosti 1, mwaka huu nchini kote kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Walionusurika kwa kutetea nafasi zao ni Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki, Celina Kombani, Ulanga Magharibi , Dk Haji Mponda, Jimbo la Morogoro Mjini Abdulaziz Abood na Jimbo la Gairo , Ahmed Shabiby .
Wabunge walioanguka katika kura za maoni ni pamoja na...
11 years ago
MichuziMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR
11 years ago
GPLMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Jerry Slaa arejesha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ukonga
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akionyesha fomu aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu nchini kote, wakati aliporejesha fomu hiyo katika ofisi za CCM wilaya ya Ilala aliyoikabidhi kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya ILALA (kushoto).
Jerry Slaa aliongozana na Mwenyekiti wa tawi la Gulukakwalala ambako ndio nyumbani kwake, Mwenyekiti wa CCM kata ya Gongo la Mboto...
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Meya Jerry Slaa atekeleza ahadi alizozitoa jimbo la Ukonga
Diwani wa kata ya Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akiwasili mkutanoni kwa ajili ya kuwahutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.
Baadhi ya madiwani na viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa muda mfupi baadaya kuhutubia mkuatano wa hadhara...