'Baba hakuwa jambazi, kazi yake imemponza'
SAKATA la kuuawa majambazi wanne jijini Arusha, mwishoni mwa wiki iliyopita, limeingia katika sura mpya. Hali hiyo inatokana na ndugu wa marehemu Japhet Kutingala (48), ambaye ni miongoni mwa watu hao wanne waliouawa na polisi, kuiomba polisi kufanya kazi zake kwa umakini ili kuepusha madhara kwa watu wengine wasio na hati kama ndugu yao.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania