Baby Madaha Kupiga Vita 'Unga'
Star wa muziki wa miondoko ya Bongofleva Baby Madaha hivi sasa ameamua kutumia sanaa yake ya uigizaji katika kupambana na matumizi ya dawa za kulevya ambayo yanarudisha nyuma maendeleo hasa kwa vijana ambao ni taifa la kesho.
Baby Madaha ameongea na eNewz kuwa hivi sasa anamiliki kampuni yake binafsi akielezea kuwa filamu hiyo mpya ambayo ipo mbioni kukamilika iliyobatizwa jina la 'Saint And Ghost' imewashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo Mzee Chilo, Bella fasta, Bi Moza na wengineo...
Bongo Movies
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania