Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI LIBERATA MULAMULA AIPONGEZA NA KUIMWAGIA SIFA ZANZIBAR HEROES KWA KUTWAA

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico amewapongeza wachezaji na viongozi wa Zanzibar Heroes kwa kunyakua kombe la Muungano kwa mechi iliyofanyika siku ya Jumamosi April 25, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani.

Katika salamu za pongezi Mhe. Liberata Mulamula pia aliwashukuru Peoples Bank of Zanzibar kwa udhamini wao na kuwaomba kuendelea kuwa na moyo huo huo wa kuitambua Diaspora ni sehemu ya Tanzania na mchango mkubwa katika kusukuma gurudumu la maendeleo Tanzania.

Pia Mhe....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA AKIBIDHIWA OFISI RASMI NA BALOZI JOHN HAULE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akikabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi John Haule. Kabla ya Uteuzi huo Balozi Mulamula alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Balozi Haule kwa sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya.Makabidhiano hayo yalifanyika Wizarani leo tarehe 01 Juni, 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

MA WINNY CASEY AWATAMBULISHA LADY KATE, MUMEWE NA MISS AFRICA USA KWA BALOZI LIBERATA MULAMULA

Miss Africa USA Meron Wudneha akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo Washington, DC kwa utambulisho.Mkurugenzi na maratibu wa mashindao hayo Lady Kate akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo Washington, DC kwa utambulisho.Kutoka kushoto ni Mr. Jerome Ndi ambaye ni mume wa Lady kate, Lady Kate, Katibu Mkuu wa Wizara...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE

Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

PICTURE OF THE DAY BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Mheshimiwa balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula akiwa amependeza sana na vazi nadhifu la kiafrika tayari kuelekea THE WHITE HOUSE kujumuika na mabalozi wengine kufuatia mwaliko wa  Mhe Barack Obama, Rais wa Marekani na mkewe Michelle Obama.
 PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani