Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI MPYA WA MAREKANI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzani, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 9, 2014 kwa mazungumzo na utambulisho wa balozi huyo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Balozi mpya wa Marekani ajitambulisha kwa Mheshimiwa Makamu wa Rais Ikulu Dar leo

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 9, 2014 kwa mazungumzo na utambulisho wa balozi huyo. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI MPYA WA OMAN NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Oman nchini Tanzania, Soud Ali Mohamed Al Ruqaishi, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 7, 2014 kwa mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi mpya wa Oman nchini Tanzania, Soud Ali Mohamed Al Ruqaishi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NA BURUNDI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Qatar Nchini Tanzania Mhe. Abdulla Jassim Al Maadadi wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Agosti 31, 2015 kwa ajili ya kujitambulisha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe. Issa Ntambuka wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Octoba 12,2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose na ujumbe aliofuatana nao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONANA NA BALOZI WA ITALY NCHINI TANZANIA KWA MAZUNGUMZO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Italy Nchini Tanzania, Luigi Scotto, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 25, 2015 kwa ajili ya mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Italy nchini Tanzania, Luigi Scotto, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 25, 2015 kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONANA NA BALOZI WA ITALY NCHINI TANZANIA KWA MAZUNGUMZO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Italy Nchini Tanzania, Luigi Scotto, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 25, 2015 kwa ajili ya mazungumzo.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Italy nchini Tanzania, Luigi Scotto,  wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 25, 2015 kwa mazungumzo. Makamu wa Rais...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TAFAKURI MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA, JIJINI DAR LEO.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA KWA MAZUNGUMZO, IKULU DAR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 7, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya, baada ya mzungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani