Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Seif Ali Iddi afanya ziara maalum ya kukagua shamba la Mkurunge,Bagamoyo

Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Tanzania Bara Mh. Angela Kairuki akimuhakikishia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kwamba Wizara hiyo itasimamia kukamilisha taratibu zote zitakazothibitisha uhalali wa umiliki wa SMZ katika shamba la mifugo la Makurunge Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Kulia ya Naibu Waziri wa Ardhi Mh. Angela Kairuki ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo.Ujumbe wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar uliotembelea shamba la Mifugo la SMZ la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Iddi afanya ziara Bandari ya Malindi,Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akimuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdullah Juma Abdullah kuchukuwa hatua ya kuyapeleka TRA Makontena yote yaliyoshindwa kufuata tataribu ambayo yanaleta msongamano ndani ya Bandari hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdullah Juma Abdullah akimkaguza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif baadhi ya maeneo yaliyowekwa makontena ndani ya Bandari hiyo. Balozi Seif alifanya ziara ya...

 

10 years ago

GPL

BALOZI SEIF IDDI AFANYA ZIARA BANDARI YA MALINDI, ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akimuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdullah Juma Abdullah kuchukuwa hatua ya kuyapeleka TRA Makontena yote yaliyoshindwa kufuata tataribu ambayo yanaleta msongamano ndani ya Bandari hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdullah Juma Abdullah akimkaguza Makamu wa Pili… ...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi na Ujumbe wake waanza ziara ya siku 10 nchini China

Mkuu wa Kijiji cha Maeneo huru ya uwekezaji katika Mji wa Chengmai aliyevaa shati jeupe Bwana Yang Si Tao akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif aliyepo kushoto yake wakati ujumbe wa Zanzibar ulipoangalia maeneo hayo ukiwa katika ziara ya siku 10 Jimboni Hainan. Kushoto ya Balozi ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi, Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar Balozi Silima Kombo Haji,Balozi wa Tanzania Nchini China Bwana Abdullrahman Shimbo na Mkewe Mama...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif Atembelea Shamba la Kilimo Makurunge Bagamoyo.

Meneja wa Shamba la Chuo cha Kilimo Kizimbani liliopo Makurunge Magamoyo Nd. Abdulrahman Mahmoud Hamid akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wakati wa ziara yake ya kulikagua shamba la SMZ waliokabidhiwa chuo hicho.Nyuma ya Balozi Seif ni Waziri wa Ardhi Zanzib ar Mh.Abdulla Shaaban, Waziri wa Kilimo Zanzibar Dr. Sira Ubwa Mwamboyta na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nd. Ali Khalil Mirza.Balozi Seif akitafakari na Mwanasheria wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa SMZ...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI SEIF IDDI




Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto) aliyefika ofisni kwake, Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo. Wengine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi seif ali Iddi atembelea Kijiji cha Kilombero

Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar { ZECO } Nd. Hassan Ali Hassan alisema shirika lake linakusudia kutumia rasilmali ilizonazo katika kuhakikisha huduma za umeme zinapatikana kwenye kisima cha maji cha Kijiji cha Kilombero ili kuwaondoshea usumbufu wa huduma za maji safi  kwa Wananchi wa Kijiji hicho. Alisema kazi hiyo itakayoanza wakati wowote kuanzia sasa inatarajiwa kukamilika sambamba na ulazwaji wa mabomba ya maji utakaofanya na wahandisi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA }...

 

11 years ago

Michuzi

balozi seif ali Iddi aasa wajumbe wa bunge la katiba

Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wana wajibu wa kutekeleza kazi zao kwa mujibu wa Kanuni walizojiwekea za kuendesha Bunge hilo ili kiuwa mfano mwema wa matendo mazuri mbele ya jamii ya Watanzani kutokana na dhima waliyokabidhiwa.  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akizungumza na wana Habari mbali mbali wanaoripoti matukio ya Bunge la Katiba hapo katika Ukumbi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mjini...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA KAMPENI JIMBO LA UZINI, ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Wana CCM na Wananchi kuwa na tahadhari na baadhi ya watu walioamua kupita mitaani kununua Vitambulisho vya kupigia kura. Alisema mpango huo umelenga kupunguza asilimia kubwa ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwezi Oktoba ambao uko wazi kutokana na utekelezaji makini wa Sera na Ilani yake ya mwaka 2010 – 2015 iliyoleta maendeleo makubwa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani