BALOZI SEIF ALI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA TATHMINI YA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR
Makamu wa Pili w Rais wa Zanzibar Balozi Seifa Ali Iddi akifungua mkutano wa tisa wa tathmini ya sekta ya Afya Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanizibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kufungua mkutano wa tisa wa tathmini ya Afya Zanzibar.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog17 May
Balozi Seif Ali Iddi aiomba IFAD kuendelea kuwaunga mkono wazalishaji katika sekta ya kilimo Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi kwenye chakula maalum cha usiku walichoandaliwa wajumbe wa Bodi Tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Kilimo { IFAD } hapo Serena Hoteli Shangani Mjini Zanzibar.
Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo { IFAD }umeombwa kuendelea kuunga mkono Sekta ya Kilimo Zanzibar katika njia ya kuwajengea uwezo wazalishaji wa Sekta hiyo mama ya uchumi kupitia mfumo wa Teknolojia ya kisasa.
Ombi hilo...
11 years ago
MichuziMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ahitimisha Mkutano wa 12 wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani jijini Arusha
9 years ago
MichuziBALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA KAMPENI JIMBO LA UZINI, ZANZIBAR
10 years ago
MichuziBALOZI SEIF IDDI AFUNGUA RASMI SKULI YA SECONDARY YA FARAJA ZANZIBAR
10 years ago
MichuziZANZIBAR INAHITAJI KUENDELEA KUWA SALAMA NA TULIVU-BALOZI SEIF ALI IDDI
11 years ago
Michuzibalozi seif ali iddi amwaga misaada jimboni kwake kitope, zanzibar
10 years ago
VijimamboBALOZI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA 18 WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
9 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Balozi Seif Ali Iddi asema uhusiano kibiashara Zanzibar na mataifa ya Ghuba kuimarika zaidi
Makamu wa Pili wa Rais na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Flydubai Bwana Sudhir Sreedhara aliyevaa miwani wakiangalia burudani ya ngoma ya Utamaduni Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya ndege ya Kampuni hiyo kutua kuanza safari zake kati ya Dubai na Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba mafungamano yaliyopo ya Kibiashara baina ya Zanzibar na Mataifa ya Ghuba na Mashariki ya mbali yatazidi kuimarika kufuatia...