Banda la Wizara ya Mambo ya Nje lazidi kung'ara kwenye maonesho ya Utumishi wa Umma
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Mkumbwa Ally akizungumzia ushiriki wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwenye maonyesho ya ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam
Afisa Mwandamizi wa Idara ya Sera na Mipango katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Mashaka Chikoli akielezea utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje na mafanikio ya Wizara kwa Mtayarishaji wa Vipindi vya...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania