Barakah Da Prince ashirikishwa na msanii huyu nguli wa Kenya
Barakah Da Prince anaendelea kupata ‘recognition’ Afrika Mashariki baada ya ngoma zake mbili ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ kukubalika. Rapper wa Kenya, Rabbit aka King Kaka amedai kuwa kwenye ngoma yake ijayo amemshirikisha msanii huyo wa Tetemesha. “Two weeks from now naachia kazi yangu na Barakah Da Prince, ambayo itaichiwa kwa Tanzania peke yake,” King Kaka […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Mar
introducing BARAKAH Da PRINCE na ' JICHUNGE'
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Barakah Da Prince kujenga maktaba
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, ameamua kurudisha fadhila kwa kujenga maktaba ya kisasa, katika shule ya msingi aliyowahi kusoma inayoitwa Pamba iliyopo mkoani Mwanza.
Barakah alisema atatoa sehemu ya fedha zake zinazotokana na kazi yake ya muziki kwa ajili ya ujenzi wa maktaba hiyo na pia atafanya marekebisho madogo madogo kwenye majengo ya shule hiyo.
“Nimepata mafanikio kwenye muziki japo si mengi lakini nilichonacho nitakipeleka...
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-7C_FMpAP6PM/VZ2OX56Z8mI/AAAAAAAATFo/ybvu_b6W_2Y/s400/298afe9b9e14da3f7504b03f89f57758-260-260.jpeg)
10 years ago
Bongo502 Feb
New Video: Barakah Da Prince — Siachani Nawe
10 years ago
Bongo519 Jan
New Music: Barakah Da Prince — Siachani Nawe
10 years ago
Bongo502 Jul
Music: Qstar Ft. Barakah da Prince — Nimekosa
10 years ago
GPLBARAKAH DA PRINCE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO
10 years ago
Bongo502 Feb
Barakah Da Prince: Nimejipanga kuendelea kufanya vizuri