Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAVICHA Muhimbili wafundwa kuijua CHADEMA

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Tawi la Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili Jumanne iliyopita limevuna wanachama wapya 20. Akizungumza na Tanzania Daima jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA CHADEMA AWAHUTUBIA WANANCHI

WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiongozana na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPImakamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi Kasikazini.WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiwahutubia wananchi wa jimbo la mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema.
Wananchi wa wilaya ya mufindi mkoani Iringa wamelalamikia ugumu wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbunge wa Chadema alazwa Muhimbili

Mbunge wa viti Maalum kwa tiketi ya  CHADEMA, Maulida Anna Komu

Mbunge wa viti Maalum kwa tiketi ya CHADEMA, Maulida Anna Komu

Hadia Khamis na Jonas Mushi, Dar es Salaam

MBUNGE wa viti Maalum kwa tiketi ya  CHADEMA, Maulida Anna Komu, amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa   wiki mbili sasa.

Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Taifa Muhimbil,i Dorris Ishenda, alisema jana kuwa Komu alifikishwa hospitalini hapo   wiki iliyopita na  kulazwa katika wodi ya magonjwa ya moyo.

“Ni kweli amelazwa katika wodi ya magonjwa ya moyo kwa ajili ya matibabu na...

 

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu amdiss Diamond kwa namna isiyo rahisi kuijua!

10570140_331847836939369_2031665733_n

Si unajua kuna lile sakata la jina Simba ambalo Diamond amekuwa akilitumia na Mr Blue hivi karibuni kudai alilianzisha yeye?

10570140_331847836939369_2031665733_n

Na sasa issue hiyo inaenda mbali zaidi. Wema ametumia Instagram kuingia pia kwenye issue hiyo katika njia ambayo inaishia kuwa dongo kwa ex wake.

“Watu walikuwa wanasubiria na mimi nitaje jina langu la mnyama… Mi ni Mnyama Ndio na Jina Langu ni WEMA SEPETU…. Gnyt Y’all…. Langu mwenyewe hilo…. Ila Balozi Kasema…. hihihihihi,” aliandika Wema.

Bila shaka bado hujaiona...

 

10 years ago

Vijimambo

JE UNAITAMBUA SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO BASI SOMA HAPA KUIJUA SASA


HERUFI AMwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.
HERUFI BMwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.
HERUFI CMwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yatoa hamasa kwa vijana kuijua Teknolojia ya Habari kupitia mradi wa Code Like A Girl



Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumza  jijini Dar Es Salaam  na vijana wakati wa kufunga mafunzo ya ICT kupitia mradi maalum wa Code Like A Girl unaowezesha vijana kujua teknolojia ya habari na kuwahimiza kutumia vyema ujuzi huo ili kumudu ushindani uliopo kwenye soko la ajira.Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham...

 

9 years ago

Habarileo

Tucta wafundwa

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika (OATUU), Mezholid Arezki amehimiza Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania(Tucta) kushirikiana kuhakikisha wanaboresha maslahi ya wafanyakazi nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waajiri wafundwa

WAAJIRI wametakiwa kushiriki Siku ya Taaluma nchini (Career Day) ambayo hufanyika kila mwaka katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Moshi (MUCCoBS) kama sehemu muhimu ya kukutana na watu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Tabora wafundwa

WAHITIMU 175 wa Chuo cha Ualimu Tabora wameaswa kutumia mafunzo ya ualimu waliyopata kwa uadilifu na kamwe wasije kuwa mzigo kwa serikali na jamii. Meneja wa Mfuko wa PSPF Mkoa...

 

9 years ago

Habarileo

Makatibu wakuu wafundwa

MAKATIBU Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani