Bayern v Arsenal, Lahm atoa onyo
Nahodha wa Beyern Munich, Philipp Lahm ameonya wenzake kuwa makini na upinzani kutoka kwa Arsenal leo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8Jkx9tqLLEZuVXqtKJNLo8dU105AccCNP--rmWBAat6zxFi89qt3*mfGhQqBOEmHIVDMV86f97S22-ULQs36La*W/ROBEN.jpg)
ARSENAL HOI KWA BAYERN
Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia Arjen Robben bila mafanikio. Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny…
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Bayern Munich yaichabanga Arsenal
Arsenal imelimwa magoli 2-0 katika kipute cha kuania Ligi ya Mabingwa Ulaya.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R8Gs3iXRSfZZlgbuELpJ7bjHWbLQn8lDNW6inCVnoRZ4BZLandQlyVrkP6wUP*kBc*Kmxzvevmz3I2CGTMMQT6D/1794582_740490462662833_2053920953_n.jpg?width=650)
LIVE: BAYERN MUNICH 1, ARSENAL 1
Wafungaji: Bastian Schweinsteiger(Bayern München),Lukas Podolski (Arsenal) Champions League: Bayern v Arsenal - Lineups Bayern Munich: 1-Manuel Neuer; 21-Philipp Lahm, 4-Dante, 8-Javi Martinez, 27-David Alaba; 6-Thiago Alcantara, 31-Bastian Schweinsteiger; 10-Arjen Robben, 19-Mario Goetze, 7-Franck Ribery; 9-Mario Mandzukic…
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Arsenal watingwa magoli matano na Bayern
Arsenal wana kibarua kigumu kufuzu kwa hatua ya muondoano Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kupokezwa kichapo kikubwa na Bayern Munich.
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Arsenal kupimana nguvu tena na Bayern
Difenda wa Arsenal Per Mertesacker amesema Bayern Munich itataka sana kuonyesha kwamba ndiyo bora zaidi klabu hizo mbili zitakapokutana tena leo.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Bayern yaifunika Arsenal kila kona
London, England. Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa, Bayern Munich walionyesha soka ya kiwango cha juu na kuichapa Arsenal 2-0 kwenye Uwanja wa Emirates Jumatano usiku.
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Arsenal, Bayern kundi moja UEFA
Arsenal kwa mara ya tatu katika misimu minne, itavaana na Bayern Munich baada ya kupangwa kundi moja katika michuano ya klabu bingwa Ulaya.
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Shangwe Arsenal baada ya kuchapa Bayern
Arsenal wamefufua matumaini yao katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa ushindi wa kusisimua dhidi ya Bayern Munich katika uwanja wa Emirates.
9 years ago
Mwananchi28 Aug
Man Utd yapeta, Arsenal kwa Bayern
Arsenal imetupwa kwa Bayern Munich wakati Manchester United ikipewa vibonde katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa, huku Lionel Messi akitwaa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Ulaya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania