Biden atangaza hatawania urais 2016
Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kwamba hatasaka tiketi ya chama cha Democratic kuwania urais 2016.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili08 May
Tara Reade: Anayemshutumu Biden kwa kumnyanyasa ataka sigombee urais
9 years ago
Bongo528 Dec
Don Jazzy atangaza kustaafu muziki mwaka 2016 kama msanii
![don jazzy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/don-jazzy-300x194.jpg)
Don Jazzy, producer na muimbaji kutoka Nigeria amesema kuwa mwaka 2016 ana mpango wa kuacha kuimba na kubaki kuwa producer.
Don Jazzy ambaye ni boss wa Mavin Records yenye wasanii kama Tiwa Savage, ametangaza uamuzi huo kupitia Twitter.
This artist work no easy jare. 2016 I'm retiring my artist side jor. #OneLagosFiesta for now sha.
— DON JAZZY (@DONJAZZY) December 27, 2015
Aliendelea kuthibitisha alichokimaanisha kama kweli anaacha kuimba baada ya shabiki mmoja kumuuliza kama yuko serious,...
10 years ago
Mtanzania29 May
Magufuli atangaza kugombea urais
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza rasmi kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kwa wanachama wake wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo kubwa ya uongozi nchini, ameona hana budi kutangaza rasmi azma yake.
Dk. Magufuli, mmoja wa mawaziri ambao kwa muda mrefu wamehusishwa kwenye kinyang’anyiro cha nafasi hiyo, alisema anaingia kwenye mchuano huo akiwa na sifa zote stahiki za...
10 years ago
Mtanzania29 Dec
Nyalandu atangaza kugombea urais
Na Kulwa Karedia, Singida
MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimechukua sura mpya baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza rasmi nia ya kugombea urais mwaka 2015.
Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wapigakura wake kwenye uwanja wa michezo wa Shule ya Msingi Ilongero, Wilaya ya Singida Vijijini jana, Waziri Nyalandu alisema muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika.
“Muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika, nitachukua hatua ya kuelekea...
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Mchungaji atangaza kugombea urais 2015
Na Rodrick Mushi, Moshi
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMUCCO), Mchungaji Godfrey Malisa, ametangaza nia ya kugombea urais Oktoba mwaka huu kwa tikeki ya mgombea binafsi.
Mchungaji Malisa, alitangaza azma hiyo huku Serikali ikiwa bado
haijaweka bayana kuwepo kwa mgombea binafsi kwa sababu Katiba Inayopendekezwa haijapitishwa.
Mwaka 2010, Malisa aligombea ubunge Jimbo la Moshi kwa tiketi ya
Chama cha Tanzania Labour (TLP).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Pinda atangaza rasmi kuwania urais
10 years ago
MichuziNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
10 years ago
Mwananchi31 May
Sitta atangaza nia ya urais ‘kiaina’
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Hillary Clinton atangaza kugombea urais