BOB MAKANI- MTANZANIA KIPANGA ALIYEKUWA NA TALANTA LUKUKI NA KUCHEZEA TIMU YA TAIFA YA UGANDA 'GOSSAGE CUP'.

By MZEE WA _ATIKALI ✍️✍️✍️
1. Usuli
Bongolanders walimjua marehemu BOB NYANGA MAKANI kama Mwanasiasa mahiri. Lakini, wengi hawajui kwamba BOB alikuwa ni kipanga aliyejaaliwa talanta lukuki na alifanya mambo mengi ya kipekee na yasiyo mfanowe ikiwemo kuichezea Timu ya Taifa ya Uganda kwenye michuano ya "Gossage Cup" kabla ya Uhuru, licha ya kuwa Mtanzania!.
Hivyo, ATIKALI hii inammyambua marehemu BOB NYANGA MAKANI toka anazaliwa hadi umauti unamfika huku ikitanabaisha talanta zake hizo...
Michuzi