Boko Haram wamteka mke wa makamu waziri mkuu wa Cameroon
Wanamgambo wa kundi la Boko Haram, wamemteka mke wa makamu wa waziri mkuu wa Cameron, na kuwaua watu watatu baada ya kuushambulia mji wa kaskazini wa Kolofata. Wanamgambo hao walivamia makazi ya waziri Amadou Ali huko Kolofata na kumteka mke wake. Kiongozi wa dini ambaye pia ni meya wa mji huo Seini Boukar Lamine naye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76558000/jpg/_76558004_023138126-1.jpg)
'Boko Haram abductions' in Cameroon
Cameroon says Boko Haram militants have abducted the wife of the country's deputy prime minister and a religious leader in the north.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80351000/jpg/_80351619_80351415.jpg)
Boko Haram 'in Cameroon kidnappings'
Suspected militants from Nigerian Islamist group Boko Haram have kidnapped at least 60 people in neighbouring Cameroon, officials say.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80792000/png/_80792542_breaking_image_large-3.png)
Boko Haram 'kill 70 in Cameroon'
Boko Haram militants have reportedly killed at least 70 people in an attack on a Cameroonian town near the Nigerian border.
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Cameroon kupambana na Boko Haram
Serikali ya Cameroon amesema Chad itatuma kikosi kikubwa cha wanajeshi wake kupambana na wapiganaji wa kiisilamu wa Boko Haram nchini Nigeria.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79090000/jpg/_79090208_79087251.jpg)
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Boko Haram washambulia Cameroon
Watu wanaodaiwa kuwa ni kundi la Boko Haramu wameshambulia raia na wanajeshi kaskazini mwa Cameroon.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80364000/png/_80364407_breaking_image_large-3.png)
Boko Haram Cameroon captives freed
At least 20 of up to 80 people taken hostage by Boko Haram in Cameroon at the weekend are now free, reports say
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Boko Haram wafanya uvamizi Cameroon
Askari jeshi wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa kundi haramu Boko Haram wameteka watu zaidi ya 60 katika nchi jirani ya Cameroon imethibitika.
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Boko Haram wazilenga Nigeria na Cameroon
Kundi la Boko Haram linaendesha mapigano katika meneo yote mawili ya kaskazini magharibi mwa Cameroon.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania