Bonaza Masauni Cup Lafana Viwanja vya Malindi Mnazi Mmoja Miembeni Yatoka Kivua Mbele dhidi ya Rahaleo kwa Mabao 4---0
Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Rahaleo kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Miembeni, mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. timu ya Rahaleo imekubali kipigo cha mabao 4--0
Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza Masauni Cup, kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Rahaleo mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBonaza la Masauni Cup Lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja Unguja Usiku Huu
10 years ago
VijimamboBonaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2--0
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Bonanza la Masauni Cup lafana Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...
10 years ago
MichuziUzinduzi wa Bonaza Kombe la Masauni Viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar
10 years ago
MichuziBonaza la Michezo la Masaunmi Cup Lavutia Wengi Zenj katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
onaza la Masauni Cup Lafani Viwanja vya Mnazi Mmoja Usiku, Kilimani na Mkunazini imeshinda 2—0
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2–0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja
Mgeni rasmi wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Kilimani iliyokubali kipigo cha mabao 2–0.wakati wa mchezo Bonaza unaoendelea katika viwanja vya malindi mnazi mmoja usiku.
Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja...
10 years ago
VijimamboBonaza la Michezo la Masaunmi Cup Lavutia Wengi Zenj katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Kati ya Mchezo Kisimajongoo na Kilimani Mashariki Imeshinda 3--0
10 years ago
MichuziBonaza la Masauni Cup Lazidi kutoa Burudani kwa Wapenzi wa Soka Zanzibar