BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA
Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto 'kushoto' akiongoza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kumpokea Ibrahimu Class 'King Class Mawe' aliyeshika mkanda baada ya kurudi na mkanda wa WPBF kwa kumpiga Mzambia Mwansa Kabinga katika uwanja wa Arthur Davis mjini Kitwe, Zambia, kwa KO ya raundi ya 9 na
kufanikiwa kunyakuwa ubingwa huo. Wa pili kushoto ni bondia Shomari Milundi, kulia ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Yaj Msangi, wadau Bilali Ngonyani na Rogers...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania