BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' APOTEZA MCHEZO WA KWANZA NAMIBIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-zPZ4VHlvyPQ/VQ1XwFqUyhI/AAAAAAAHL5k/aBwHHdjzS2A/s72-c/11038950_836973036348841_3235119866122256200_o.jpg)
BONDIA IBRAHIMU CLASS "King Class Mawe" mwenye rekodi namba moja nchini Tanzania na ni namba 216 kwa Dunia amepoteza mpambano wake wa kwanza nchini Namibia kwa kupigwa kwa pointi na bondia Julius Indongo mwenye rekodi ya Namibia namba moja na Duniani ni namba 76 kwa ubora
mpambano huo uliofanyika machi 20,mwaka huu katika ukumbi wa Windhoek Country Club Resort,Windhoek, Namibia.
Mpambano huo ulianza kwa kasi ya ajabu ambapo bondia Class alimkalisha chini Indongo na kuhesabiwa na mpambano...
Michuzi