BONDIA MRISHO RAJABU 'DAME' ATAMBA KUMCHAKAZA ABDALLAH PAZI JUNE 14 BAGAMOYO
Na Mwandishi wetu
Bondia Mrisho Rajabu 'Dame' amempania kumchakaza katika raundi za awali bondia Abdalla Pazi 'Mfalme wa Wazalamu' katika mpambano wao wa raundi sita utakaofanyika katika ukumbi wa TASUBA uliopo Bagamoyo mjini juni 14
Rajabu amesema atahakikisha awapi tabu majaji kwa kumsambalatisha kwa K,O ya raundi za awali wakati wa mpambano wao ambao umevuta isia za watu wengi wa Dar es salaam na mkoa wa Pwani
siku hiyo pia kutakuwa na mapambano ya utangulizi ambapo Iddi Pialali 'Simba...
Vijimambo