BONDIA STANLEY MABESI 'NINJA' AMFAGILIA KOCHA SUPER D
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa katika picha na pamoja na bondia wa zamani Stanley Mabesi 'Ninja' wa pili kushoto ambaye kwa sasa anaishi nchini Holland mji wa amsterdam wengine ni mashabiki wa mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWSKocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa pamoja na bondia wa zamani Stanley Mabesi 'Ninja' ambaye kwa sasa anaishi nchini Holland mji wa amsterdam Picha...
Vijimambo