BONGO MOVIE WALIA NA MAHARAMIA, FILAMU KUSHUSHWA BEI
Wasanii wa filamu maarufu kama Bongo Movie wakiwa katika mkutano na wanahabari jijini Dar es salaam kulalamika jinsi maharamia wanavyowaibia kazi zao na pia soko la filamu kujaa kazi za nje zinazouzwa bei chee
Wasanii wa filamu maarufu kama Bongo Movie wakiwa katika mkutano na wanahabari jijini Dar es salaam
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
Sakata la kushushwa kwa bei za filamu.Watayarishaji filamu nao waibuka
Bodi ya Filamu kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda na Biashara, TRA, TBS, imekuwa ikifanya vikao vya ndani zaidi ya viwili sasa na wasambazaji wa filamu ili kuzungumzia suala ya bei ya filamu.
“Tunaiomba serikali kupitia vyombo vyake vyote vinavyoshiriki haya masuala ya filamu, kusifanyike mkutano wa aina yoyote ile kuzungumzia bei ya filamu bila kushirikisha maprodyuza, sisi ndiyo wenye filamu na ndiyo tunaotengeneza sasa...
10 years ago
Michuzi14 Jan
10 years ago
Michuzi14 Jan
10 years ago
Michuzi14 Jan
10 years ago
Michuzi10 Jan
10 years ago
Michuzi10 Jan
10 years ago
Mwananchi13 Aug
‘Mpishi wa filamu za Bongo Movie aliyeweka kapuni’ shahada ya uhandisi
Mtunzi na mwongozaji wa filamu maarufu za Bongo Movie, Daniel Leonard Manege ametangaza kuachia filamu mpya akilezeza kuwa atatumia mfumo tofauti wa masoko ili kuhakikisha filamu hiyo iitwayo “Safari ya Gwalu†inawafikia wananchi katika ubora unaotakiwa.
11 years ago
MichuziUZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya kukanusha uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) na kulia kwake n Wastara Juma na Salama "Sandra" Salimin.
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa tarifa ya kukanusha taarifa za uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kuanzia kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) , Katibu wa TAFF mkoa wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania