BONGO MOVIES YA JOYCE KIRIA YARUDI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Qy1if7thdN8/UtAp44BroeI/AAAAAAAFF2c/hziFexIc05A/s1600/unnamed+%2811%29.jpg)
 Msanii Pastor Myamba akiwa na crew ya Bongo Movies wakionesha alama ya 5 kama ishara ya kutua EATV hivi karibuni.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPu3RcixK0FbgylvtjEAJ5Uw4ue8swYoRCQzitNm9r-gRWbbdeuA48LhFMzDXoRswU-yft7-CsApgzfB1mX8yess/kiria.jpg)
JOYCE KIRIA ANANGWA!
Stori: Paparazi Wetu SOO! Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenagwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora. Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria. Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtExxzCMe4oii5gtmGu4Rhsdx8qdupE3kFNu3kRYPSQBaA7NOJFZ6ejur1UIW0wZmDThMJtGBawtfNYALXU6a-yAr/joyce.gif?width=650)
JOYCE KIRIA NA PATI YA WANANDOA
Hamida Hassan
MWANAHARAKATI na mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria kwa kutambua adha wanazokutana nazo akina mama kwenye ndoa zao, ameandaa pati maalum kwa ajili ya kuwafunda, Risasi Jumatano linakupasha.. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1glgyiP
10 years ago
GPLJOYCE KIRIA AKWAA SKENDO YA UTAPELI
Hosti wa Kipindi cha Wanawake Live kupita Televisheni ya EATV, Joyce Kiria. Why Joyce? Hosti wa Kipindi cha Wanawake Live kupita Televisheni ya EATV, Joyce Kiria yupo kwenye wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kwa marafiki zake (majina yanahifadhiwa kwa sasa) akidaiwa kuwashawishi kuingia kwenye biashara ya Mtandao ya Telexfree Network Marketing. Kwa mujibu wa sosi makini, ishu hiyo imeibuka juzikati ambapo Joyce...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2bhRywJasQuuFvwZBsb1uwwJ7ZETfIeVpCw1iC1pOTJa7T4V0LpVjE6dvZkBQQ-sPctApIAeq3WVFTzXbdrWaV8/Untitled2.jpg)
JOYCE KIRIA ADAIWA MILLION 500
Hamida Hassan na Gladness Mallya/Uwazi
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria amepokea samansi ya mashtaka kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM) ambaye amedai amlipe fidia ya kumdhalilisha sh. Milioni 500 au amuombe radhi kupitia kipindi chake. Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Akiongea na Uwazi, Joyce Kiria alisema kuwa amepokea barua hiyo kwa mikono...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCjeTJ6RUb5XTXtfHc-2BAJ-JcPLyv7ZB3xafdeZA34SyuRFwgW54mx93QHwnQ0MtMr7uVcqu1QRi1BOpyFsGNvg/joyce.jpg?width=650)
JOYCE KIRIA AFICHUA SIRI YA NDOA ZAKE
Ndoa ya pili ya Joyce Kiria na Henry Kilewo. Na Mwandishi Wetu
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel 5, Joyce Kiria amefunguka na kufichua siri ya ndoa zake mbili alizofunga, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Ndoa ya kwanza ya Joyce na DJ…
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
JOYCE KIRIA: Changamoto zimefanikisha ndoto yangu
‘UGUMU wa Maisha ni Kipimo cha Akili’ Huu ni usemi uliozoeleka katika maisha ya jamii hasa kwenye miaka ya sasa ambapo hali ya uchumi imekuwa ikizidi kuwa ngumu. Ugumu huo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ITtoOH4FEliA2Q-9dmXMXPTc4Ex4qxHR8cBw3Wzfzi4PVldsG8NwGbmdpp36qHm-g9BV0MRP2qjqHvqaltysRlvm1tZtXoVv/11659258_498844603624571_214031101422271051_n1.jpg?width=650)
KUANGUKA MUMEWE KWAMPA KIWEWE! JOYCE KIRIA
‘Host’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria . Na Imelda Mtema ‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigombea Ubunge Jimbo la Mwanga kushindwa. Baada ya matokeo kutangazwa, Joyce alijikuta akiandika waraka mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akieleza jinsi alivyoyapokea matokeo hayo kwa maumivu. Akizungumza na Ijumaa, Joyce alisema...
10 years ago
GPLNIKIRIDHISHWA FARAGHA SHARTI NIMSIFIE MUME- JOYCE KIRIA
Hamida Hassan
Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ametoa kali ya mwaka kwa kueleza kuwa, akishibishwa vilivyo na mume wake ‘chakula cha usiku’, haoni sababu ya kumsifia kupitia mitandao. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1HN7LPo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania