BREAKING NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA ZAMANI MH. FREDERICK SUMAYE AJIUNGA RASMI NA UKAWA
Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mwanachama wa CCM, Mh Frederick Sumaye amejiunga na UKAWA leo. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar amesema ameamua kuondoka CCM kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanyika wakati wa kumteua Rais atayeikiwakilisha chama cha Mapinduzi (CCM)
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Aug
NEWS ON SITE: Waziri Mkuu Frederick Sumaye ajiunga rasmi UKAWA!!
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, akiwa katika meza kuu akitangaza rasmi kukihama chama cha Mapinduzi CCM na kujiunga na UKAWA mapema mchana wa leo Agosti 22.2015. kwa kile alichokieleza mwenendo mbovu wa CCM katika uteuzi wa mgombea Urais ndani ya Chama hicho hivi karibuni
Andrew Chale, modewjiblog
(Kunduchi-Kinondoni) Tayari Taifa la Tanzania ambalo kwa sasa limeanza rasmi kwenye kinyang’anyiro cha Urais, mchana wa leo Agosti 22, 2015 – Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye,...
9 years ago
Vijimambo22 Aug
Dakika 15 za Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye alivyotangaza kujiunga UKAWA.. (+Audio)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA
Habari tulizozipata live kutoka kituo cha ITV ni kwamba Waziri wa zamani wa serikali ya Mkapa, ameamua rasmi kujitoa CCM baada ya kutotendewa haki na chama hicho. ” Sijiungi na upinzani kwa maslahi binafsi,sitaki cheo,sijachukua pesa, […]
The post Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Breaking News!! Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa aliyekuwa TAMISEMI!
Kitendawili cha nani kuwa Waziri Mkuu tayari jibu limepatikana na sasa ni Kissim Majaliwa ambaye alikuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa (TAMISEMI) Aliyekuwa akishughulikia Elimu.
Jina hilo la Waziri Mkuu liliweza kupelekwa Bungeni kwa mbwembwe na baadae kusomwa. na kutajwa jina hilo ambalo wengi wa hawakulitegemea.
Bunge lililipuka kwa shangwe kwani ilikuwa ni ‘Surprise’ kwa jina hilo kutajwa Bungeni, kushika nafasi kubwa katika nchi.
Kassim...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU,MH.FREDERICK SUMAYE AZINDUA ALBAMU MPYA YA ROSE MUHANDO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog25 Dec
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye awasili jijini Mbeya, tayari kwa kuongoza tamasha la Krismas
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Tayari kwa kuhudhuria Tamasha la Krismas ambalo linafanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Mh, Sumaye atakuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ambalo...