BREAKING NEWS: MAMA REGINA LOWASSA USO KWA USO NA MWANA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE
Mama Regina Lowassa leo alikuwa Chimala, Mbarali akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mbarali, Liberatus Mwang'ombe "Libe". Akiongea na wana Mbarali mama Lowassa amesema mwang'ombe ni kijana mweledi, msomi, na mwenye maono na Mbarali; hivyo basi amewaomba wana Mbarali wasimpoteze Mh. Mwang'ombe.
Mama Lowassa alishangazwa na umati uliojitokeza baada ya taarifa ya masaa matutu kuwa atasimama Chimala. Mh. Mwang'ombe akitoa shukrani zake kwa mama Lowassa kufika Mbarali alisema "Mbarali ina wapiga...
Vijimambo