BREAKING NEWS: MBIO ZA UBUNGE: MAFULIKO YAHAMIA MBARALI KWA MWANG'OMBE, AVUNJA REKODI
Liberatus Mwang'ombe "Libe" ameendelea kuvunja rekodi kwa kukusanya watu wengi kuliko mgombea yeyote wa ubunge aliye wahi kutokea jimbo la Mbarali. Mh. Mwang'ombe ambaye amekuwa akiendesha mikutano yake kwa namna ya kipekee kabisa; leo, baada ya kuhutubia aliacha dakika 45 ambapo alisema "nimeomba mdahalo na mgombea wa CCM, Haroon, amekataa; nimeomba mdahalo na mgombea wa ACT, Modestus Kilufi, amekataa; sasa nawaruhusu watu wa Ubaruku mnifanyie mdahalo peke yangu."Watu wa Ubaruku walimuuliza Mh....
Vijimambo