'Bunge Maalum muwe na huruma'
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba lililoketi kwa siku 70 likiahirishwa ili kupisha Bunge la Bajeti linalotarajiwa kuanza Mei 6 mwaka huu, Mjumbe wa Bunge hilo, Balozi Seif Ali Idd amesikitikia muda na fedha, vinavyochezewa na baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania