Bushoke, Dully Sykes na Mr. Blue watoka na Angel
NA VICTORIA PATRICK (TSJ)
MSANII wa muziki wa Kizazi kipya, Ruta Maximilian ‘Bushoke’, Dully Sykes na Mr. Blue wanatarajia kutoka na wimbo unaoitwa ‘Angel’ ukiwa na lengo la kumrudisha Bushoke katika ramani ya muziki kama alivyokuwa awali.
Bushoke alisema wimbo huo umetayarishwa na Dully Sykes na utaachiwa mwishoni mwa mwezi huu, huku akiamini utarudisha imani ya mashabiki wake kuendelea kumshabikia na kupenda muziki wake kama walivyokuwa awali.
“Nilikuwa kimya kwa muda na sasa nakuja...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Mar
New Music: Bushoke Ft Mr Blue & Dully Sykes – Angel
10 years ago
Michuzi29 Sep
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w04I4TPrbk6LpLatHqwLPNlSvHhaDa5OggxvD0wN2tMhqMy0VDiv--O4Ph*lS*5USks9fuMZlSDwe3eyDDcghH/breakingnews.gif)
TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
10 years ago
Vijimambo15 Feb
BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA
![](http://api.ning.com/files/8k2*97pl68yhdm8-dGrBnFsIgRGn5nB4WqMGaCVDWM1BQLmLnY9CpcLCrgtE8utF5bW7gp2yNVZjW*v6ujz5*DKV5LTE1yi4/dullynababaake.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo515 Feb
Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
10 years ago
CloudsFM17 Feb
11 years ago
GPL31 Jul
9 years ago
Bongo502 Nov
Music: Dully Sykes — Dodoma
![Dully Sykes - Dodoma](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Dully-Sykes-Dodoma-94x94.jpg)