'CDA inawatesa wananchi, ivunjwe'
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi juzi alipata wakati mgumu kwenye mkutano baada ya wananchi na baadhi ya madiwani kukataa hoja zake mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Hatua hiyo ya wananchi, ilikuja baada wa Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole (CCM) kusema Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imekuwa ikifanya maonevu mengi kwa wananchi, ikiwemo kubomoa nyumba, makanisa kutaka ardhi irudi Manispaa.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania