Chadema: Kauli ya JK yavitia hofu vyama vya siasa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepinga kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwamba kura ya maoni ya kupitisha au kuikataa katiba inayopendekezwa itafanyika wakati wowote kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa kuwa inakiuka makubaliano kati yake na viongozi wa vyama vya siasa.
Rais Kikwete alisema juzi mjini Dodoma baada ya kukabidhiwa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyoandaliwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK), alisema kuwa kura ya maoni ya kuipitisha Katiba hiyo au kuikataa...
Vijimambo