Chadema yawapiga "stop" wanaotaka kuwang'oa Lema na Nassari
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(chadema), mkoa wa Arusha “kimewapiga stop†wanachama wake, kutangaza nia ya kugombea ubunge katika majimbo matatu, yanayoshikiliwa na wabunge wa chama hicho,hadi hapo Bunge litakapovunjwa rasmi julai 2 mwaka huu.
Mwananchi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania