Chaumma waja na vipaumbele vitatu
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe ameahidi vipaumbele vitatu, ajira, afya bure na elimu kwa Watanzania wote endapo atachaguliwa kuongoza nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen24 Oct
Briefly about Chaumma
Chaumma, which got permanent registration from the office of the registrar of political parties in June 2013, has over 1.5 million members across the country, according to the party’s presidential candidate, Mr Hashim Rungwe.
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Chaumma kufuta nafasi za Ma-DC, RC
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashimu Rungwe ameahidi kuwaondoa wakuu wa mikoa na wilaya ili aanzishe Serikali ya majimbo.
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Chaumma yapata viongozi wapya
MWENYEKITI wa Chama cha Ukombuzi wa Umma (Chaumma), Hashim Sipunda, amesema hana imani na Tume ya Uchaguzi, hivyo kuomba kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itatenda haki. Sipunda alitoa...
9 years ago
TheCitizen03 Sep
Jobs top Chaumma agenda
The opposition Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chauma) yesterday launched its presidential campaign, saying employment would top its agenda if elected in the October General Election.
10 years ago
GPLMGOMBEA URAIS WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU
Ofisa wa NEC, Adam Nyando (kushoto) akimkabidhi fomu ya urais, Hashim Rungwe. Ofisa wa NEC, Crecencia Mayalla (kushoto), akimpatia maelekezo mgombea namna ya kujisajili katika daftari la wagombea.…
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Chaumma waahidi viwanda kila mkoa
Mgombea urais kwa tiketi ya Chaumma, Hashim Rungwe amesema Sera za chama hicho ni kujenga viwanda katika kila mkoa ili kupunguza tatizo la ajira.
9 years ago
AllAfrica.Com04 Sep
Chaumma to Cut Power Tariffs, Build Industries
AllAfrica.com
Chama Cha Ukombozi (CHAUMMA) on Wednesday launched its election campaigns in Dar es Salaam with its Union presidential aspirant Mr Hashimu Rungwe promising to lower electricity tariffs to make them affordable to all citizens. Unveiling his party's ...
10 years ago
VijimamboChama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) chamtangaza mgombea wa Urais Zanzibar
9 years ago
Vijimambo28 Sep
MJUE HASHIM RUNGWE MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHAUMMA
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2862138/medRes/1112855/-/mua0f4/-/pic+hashim.jpg)
Hashim Rungwe Spunda, ni Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania akifanya kazi zake kama wakili binafsi. Alizaliwa tarehe 01 Januari 1949 katika eneo la Ujiji, mkoani Kigoma (Ametimiza miaka 66 mwezi Januari mwaka huu).
Hashim alianza elimu ya msingi katika shule ya msingi Kipampa iliyoko mkoani Kigoma kati ya mwaka 1959 – 1966 na akajiunga na masomo ya sekondari katika Shule ya Sekondari ya Chuo Kikuu cha Cambridge kati ya mwaka 1967 – 1969 na kuhitimu kidato cha nne, kabla ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania