Chikawe: Tumefanikiwa
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe ameelezea mafanikio yaliyofikiwa na wizara hiyo ndani ya miaka 10 ikiwamo kudhibiti uhalifu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
‘Tumefanikiwa kudhibiti uingizaji dawa za kulevya’
MKUU wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Godfrey Nzowa amesema mawasiliano baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yamefanikisha kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya hapa nchini....
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V_s8h68gYfs/VFiXYTWqvmI/AAAAAAAGvYA/0jCUa1jo16s/s72-c/unnamed%2B(90).jpg)
Tumefanikiwa kuweka heshima ya matumizi ya fedha ndani ya Bunge la SADC: Jaffo
Na Owen Mwandumbya, Victoria Falls, Zimbabwe.
Aliyekuwa mweka hazina wa Bunge la SADC ambaye pia ni Mbunge kutoka Bunge la Tanzania Mhe. Said Seleman Jaffo ameutaka uongozi mpya wa Bunge la nchi wanachama wa jumuiya ya kusini mwa Africa (SADC PF) kuendeleza mazuri yote yaliyoanchwa na uongozi unaomaliza muda wake ikiwa ni pamoja na kuzingatia matumizi bora ya fedha za Bunge hilo kwa wanachama kwa lengo la kuendeleza Bunge hilo.
Mhe. Jafo aliyasema hayo hapa mjini Victoria Falls alipokuwa...

Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-UfKBFSkoNtk/VIHBQkKvwUI/AAAAAAAARiI/mD-gTDVGAGA/s72-c/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
DIAMOND UHURU PARTY WASHINGTON DC -KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI "TUMEFANIKIWA KUONGEZA NAFASI "20 TU" TAFADHALI ZIKIISHA HIZI NDO BASI !
HOTEL WAMEKUBALI KUONGEZA NAFASI 20 TU,KAMA UNAHITAJI TAFADHALI PIGA SIMU HARAKA ZIKIISHA HIZI BASI MAANA CHUMBA NDO KITAKUWA KIMEJAA
PIGA SIMU # 301-661-6207 # 240-605-1870
![](http://4.bp.blogspot.com/-UfKBFSkoNtk/VIHBQkKvwUI/AAAAAAAARiI/mD-gTDVGAGA/s1600/INDEPENDENCE%2BBRAND%2BNEW.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania