Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuo Cha Uandishi Wa Habari

Chuo cha BBC cha Uandishi wa Habari kimeanzisha upya tovuti ya Kiswahili katika mfumo (mtindo) mpya na maswala mapya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Bilioni 1.5 kujenga makazi ya kudumu ya chuo cha uandishi wa habari Zanzibar

500

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (aliyevaa joho rangi ya zambarau)  akiambatana na Waziri wa Habari,Utamaduni, Utalii na Michezo Mh. Said Ali Mbarouk (kulia kwake) pamoja na Mkuu wa Taaluma wakiyapokea maandamano ya wahitimu 105 wa cheti na Stashahada wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar waliomaliza mafunzo yao mkupuo wa sita.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Waandishi wa Habari Nchini wana nafasi kubwa ya kuitumia Taaluma yao katika...

 

11 years ago

GPL

YALIYOJIRI KWENYE MAHAFALI YA 19 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM (DSJ)


Mgeni  rasmi akiwa katika meza kuu  na Mkuu wa chuo , pamoja na viongozi wengine wa chuo na viongozi wa Serikali ya wanafunzi .
Kutoka kushoto ni Fabian, Dotto Mandolin Kahindi, Abushehe Nondo, Benjamin Mwangoka .…

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif mgeni rasmi kwenye mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar, katika Viwanja vya Wizara ya Habari, Mnazi mmoja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi zawadi kwa mmoja kati ya wanafunzi waliofanya vizuri katika chuo hicho. Mwenyekiti wa bodi ya Chuo Cha Uandishi wa Habari Zanzibar nd. Chande Omar akitoa ushauri wake kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Makamu...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad mgeni rasmi katika mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi zawadi kwa mmoja kati ya wanafunzi waliofanya vizuri katika chuo hicho.  Mwenyekiti wa bodi ya Chuo Cha Uandishi wa Habari Zanzibar Bw. Chande Omar akitoa ushauri wake kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar, katika Viwanja vya Wizara ya Habari, Mnazi mmoja. Makamu...

 

11 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti TASWA alamba nondozz yake ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Egbert Mkoko (katikati) akipongezwa na walimu wake, Profesa Larry sterilz (kushoto) na Profesa Lynnete sterilz, baada ya kutunukiwa shahada ya pili ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Rhodes, Afrika Kusini juzi. (Picha kwa hisani ya TASWA).

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO WA ZANZIBAR AKUTANA NA WANAFUNZI NA WALIMU WACHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC) Rashid Omar akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katika mkutano na Wanafunzi wa chuo hicho ngazi ya Diploma na Sataficate katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar. Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk hayupo pichani wakati akitoahotuba kwa wanafunzi haokatika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio...

 

9 years ago

Mwananchi

Uandishi usio uandishi wa habari

Kama kuna uandishi wa habari ambao utachukiza na hata kuchefua wasomaji na wasikilizaji Jumapili hii, ni unaofanana na huu hapa.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA CHUO CHA CBE ATOA UFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMA KUHUSU CHUO CHAKE

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii kuhusu chuo hicho, leo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa habari zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge

Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.Mhariri Mtendaji Jamhuri Media Limited, Bw. Deodatus Balile akitoa mada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani