CIA YAKIRI KUFELI SIASA ZA UTWISHAJI MAZUNGUMZO KUPITIA MSHINIKIZO DHIDI YA IRAN
Shirika la Ujasusi la Marekani CIA limekiri kwamba siasa za vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi dhidi ya Iran zimefeli na kwamba Tehran haipo tayari kufanya mazungumzo na Washington chini ya mashinikizo kwa mazingira yoyote yale.Gazeti la New York Times limewanukuu viongozi wa ngazi za juu wa Marekani ndani ya shirika hilo katika moja ya uchambuzi wao wa hivi karibuni ambapo wamefikia natija hii kwamba, mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayajaweza kukaribisha...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Mazungumzo ya Iran kuendelea Austria
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Mazungumzo ya Iran yaendelea Austria
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Iran:Mazungumzo yatazaa matunda?
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Mazungumzo ya nyuklia ya Iran yaafikiwa
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Marekani kufanya mazungumzo na Iran
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Iran kutohudhuria mazungumzo ya Syria-UN
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Muda wa mazungumzo na Iran waongezwa
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Mazungumzo ya Iran kurejelewa leo
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Muda unayoyoma kwa mazungumzo ya Iran