CORONA:'PAPA AWATAKA WATU KUTOKUBALI KUSHINDWA NA UOGA'
![](https://1.bp.blogspot.com/-1O1RJqb8OTc/XpLxX58IlYI/AAAAAAALm0Q/xBht-RUpc0glS3A5jz1i7REsvrEvPYihQCLcBGAsYHQ/s72-c/_111760459_gettyimages-1218283560-594x594.jpg)
Papa Francis amewataka watu kutosalimu amri kwa uoga wa virusi vya corona, na kuwataka kuwa "wajumbe wa uhai wakati wa kifo".
Kiongozi huyo wa kanisa katoliki alizungumza wakati wa sherehe za pasaka Jumamosi, katika kanisa la St Peter's Basilica ambalo lilikuwa na watu wachache.
Waumini wa Kikatoliki bilioni 1.3 kote duniani wana fursa ya kufuatilia ibada ya moja kwa moja mtandaoni.
Marufuku ya watu kutokutoka majumbani bado inaendelezwa katika maeneo mbalimbali nchini Italia ambako...
CCM Blog
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania