Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City iliyofanyika September 5, 2015 yafanikiwa vizuri

 Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City  iliyofanyika September 5, 2015 ndani ya ukumbi wa Punto Space New York City yafanikiwa vizuri katika show hiyo kulikuwa na Chakula, ngoma nyote vyenye asili ya Kitanzania pia kulikuwa na Arts zilizochorwa na Jojo Hassan. Chakula cha Kitanzania kilipikwa na wataalamu wa mankuli ya Kitanzania Mzee Lukas na James. Show hii ilindaliwa na mwanadada wa Kitanzania anaejulika kwa jina la Justa Lujwangana na kudhaminiwa na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City On September 5, 2015 experience Tanzania in New York City with a cultural evening of food and live entertainment that will inspire and fulfill your curiosities about Tanzania.


Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City On September 5, 2015 experience Tanzania in New York City with a cultural evening of food and live entertainment that will inspire and fulfill your curiosities about Tanzania. 

The idea behind the Fest is to celebrate Tanzanian culture with Tanzanians, taste makers, previous/ future travelers and others who are curious to know more or experience our culture and more. Some of the highlight of the event will be Tanzanian...

 

9 years ago

Vijimambo

CURIOUS ON TANZANIA TO HOST FIRST TANZANIAN CULTURE FEST IN NEW YORK CITY, SEPTEMBER 5, 2015


New York, New York- The first annual Curious on Tanzania Culture Fest, which will celebrate the country’s many untold wonders, will take place on Saturday, September 5th, 2015 from 5 PM to 9 PM at Punto Space, 325 West 38th Street, New York City. 
Curious on Tanzania performance at NY Travel Fest 2014Curious on Tanzania performance at NY Travel Fest 2014The first event of its kind, the Curious on Tanzania Culture Fest aims to bring the Tanzanian experience to travel enthusiasts, tastemakers,...

 

9 years ago

Michuzi

AFRICAN IN NEW YORK SHOW: Curious On Tanzania Fest 2015

Curious on Tanzania is an organization and a platform that promotes Tanzanian tourism in the United States of America. Its founder and CEO, Justa Lujangwana is determined to make Americans and the people of other nationalities taste what she describes as a "Tanzanian Flavor". By this, she means whatever that is Tanzanian in terms of music, cuisine, history, tourism and even beauty. The aim of her organization is to  make Americans be aware of what Tanzania has to offer be it culturally,...

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA DAY/MUUNGANO BBQ IN NEW YORK CITY SATURDAY MAY 2, 2015 KARIBU WOTE


Jumuiya ya Watanzania wa New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa kwa pamoja na udhamini wa Miss Tanzania USA. Tunapenda kuwataarifu wanajumuiya wote kuwa kutakuwa na BBQ maalum kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Muungano wetu/Tanzania Day ambayo ilikuwa April 26,1964. Shime tujitokeze kwa wingi kusherehekea siku yetu hii adhimu itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 2 Mei 2015 kuanzia saa Saba mchana Roosevelt Island. Kama...

 

11 years ago

Michuzi

7th Auto Fest 2014 CALLING EXHIBITORS "Tanzania's Premier Automotive Event" Tarehe 19 - 21 September '14 , Viwanja vya BAIFRA Kinondoni

 Kwa mara ya 7 mfululizo AUTOFEST sasa imekuja na mashamsham kabambe kwa wadau wote wa magari. Maonyesho haya yatahusisha- wauzaji magari

- Vipuri vya magari

- watoa huduma shirikishi (Bima , Bank,n.k)

- Kwa upande wa Michezo Zawadi zakumwaga bila kusahau 4 x 4 challenge , Norinda (Drifts).

- V.I.P lounge na Nyama Choma Kama   kawaida


UNAKARIBISHWA KUCHUKUA NAFASI YAKO MAPEMA KAMA UNAHUSIKA NA:

Commercial Vehicles 4 WD's

Transportation Vehicles

Motorcycles & Scooters

Auto Spare Parts

Tyres &...

 

9 years ago

Cowen Daily

September 22, 2015 | EU conveys Election Observation Mission to Tanzania


Cowen Daily
September 22, 2015 | EU conveys Election Observation Mission to Tanzania
Cowen Daily
welcome by the Tanzanian powers, the European Union has sent an Election Observation Mission (EOM) to Tanzania to watch the Presidential, Parliamentary and Local Council races which are planned for 25 October. Federica Mogherini, High ...
EU deploys Election Observation Mission to TanzaniaEU News

all 2

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZILIZO TAMBA SIKU YA UFUNGUZI WA TANZANIA HOUSE NEW YORK CITY KUTOKA TEMBAPHOTO

Ukodak kutokaTembaphoto ndani ya Tanzania House New York City. Dr Temba akipata ukodak ndani ya Tanzania House kiroho safi


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani