DALADALA DAR WAANZA KUBEBA ABIRIA KWA MTINDO WA 'LEVEL SEAT'... WAKAZI WAONJA RAHA NA KARAHA YAKE.
![](https://1.bp.blogspot.com/-kXkjqGyOlM4/XoNCUqFvUuI/AAAAAAALlrw/oVsNM8wVXhIgnkOtZ3mzQbubBwsXpCHYQCLcBGAsYHQ/s72-c/daladala-dar-es-salaam.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
MAGARI ya usafiri maarufu kwa jina la Daladala leo yameanza kubeba abiri kwa idadi ya viti 'Level Seat' ikiwa ni mkakati wa kupambana na kuenea kwa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19.
Utaratibu huo umeanza leo Machi 31 mwaka huu wa 2020 na hivyo kwenye vituo mbalimbali vya daladala mamia ya abiria ya wakazi wa Jiji hilo wameonekana wakiwa kituoni kwani daladala nyingi zilikuwa zikifika vituoni yakiwa yameshajaa abiria kutokana na utaratibu...
Michuzi