DAWASA WAKABIDHIWA BOHARI YA MAJI, MIRADI 341 KUTOKA RUWASA
![](https://1.bp.blogspot.com/-TIM1-7rrK9U/XtFaJHdVH_I/AAAAAAALsDA/Qq9wFNCAb5I4O6HvSlv1ziRwmWuFEueBACLcBGAsYHQ/s72-c/16a84b7d-3f88-4d9c-91fb-cdf12e9700d2.jpg)
Na Zainab Nyamka, Michuzi TV
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA wamekabidhiwa bohari kuu ya maji, miradi mikubwa 19, miradi midogo 322 kwa ajili ya kuanza kuihudumia.
Tukio hilo la uwekaji wa saini mikataba ya makabidhiano imefanyika leo katika Makao Makuu ya Mamlaka hiyo Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa utiaji saini, Katibu Mkuu ww Wizara ya MajiProf Kitila Mkumbo amesema ana imani kubwa na DAWASA katika uendeshaji na watasimamia vizuri miradi hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uBusYA3VZFc/XtpDN24YY6I/AAAAAAALstI/a1ACmcJQ6OoNC20-UZGsyTtOHMWfy4smQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200604_135659_0.jpg)
AWESO AAGIZA RUWASA NA DAWASA KIBAHA KUONGEZA UZALISHAJI WA MAJI ILI KUONDOA MGAO KIPANGEGE
NAIBU Waziri Wa Maji ,Jumaa Aweso ameiagiza RUWASA na DAWASA Mkoani Pwani ,kuongeza uzalishaji wa maji na kusimamia mradi wa maji wa Kipangege Kibaha ,ili wananchi wanaondokane na tatizo la kupata maji kwa mgao ,kwani wananchi hao wamechoshwa na maji ya kudunduliza .
Aidha ameielekeza ,RUWASA Mkoani hapo ,kuhakikisha wanamuondoa msimamizi wa mradi wa maji wa Kipangege, Kibaha na kuurudisha mradi mikononi mwa Jumuiya ya watumiaji ili kuondoa kero ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvLuGfe*gDKzGkS8WV63zi63mPHP0ygdvsL6YQSLKA0ozti-Qa--5S5foeXaGNOdC9o1ZprSQfrqcTnN1NDiQIGq/d1.jpg?width=650)
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
![](https://2.bp.blogspot.com/-utueJlLvcrc/VAEFt9bWIqI/AAAAAAAAXXc/60Yejvxm-3s/s1600/Modesta%2BMushi.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-dJAlQfjgYfw/VAEFtuoqMYI/AAAAAAAAXXY/p7ed-tfkWT8/s1600/Mhandishi%2BJohn%2BKirecha.jpg)
9 years ago
Michuzi24 Sep
MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA (DAWASA) MNADA WA HADHARA:
MALI ZITAKOZOUZWA: Meza za ofisi, Viti, Book case, Cupboard, File cabinets, 6 Photocopy m/c {Canon /Sharp} , Computer set, Printer, Scanner, A/c split unit & Window type na grili za milango...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Fh6cQfbSwCQ/XmZTRqShPwI/AAAAAAALiSo/a1vlAaI6eXU3U4hpEJPRvkXdCPwDmqo2QCLcBGAsYHQ/s72-c/30200c4f-d3b2-4442-bfb9-496f994ae2af.jpg)
NAIBU WAZIRI AWESO AMUAGIZA MKURUGENZI RUWASA KUKAGUA JUMUIYA ZOTE ZA MAJI NCHINI
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imeuagiza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya mapitio ya tathimini ili kuzifuta Jumuiya za Maji ambazo zimeshindwa kuhudumia wananchi.
Agizo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso wakati akizungumza na mameneja Ruwasa wa Wilaya na Mikoa yote ya Tanzania bara katika mkutano wa mrejesho wa uhakiki na tathimini ya utekelezaji wa mpango wa malipo kwa matokeo awamu ya nne.
Mhe Aweso amesema kumekuepo na...
11 years ago
Michuziwataalam wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais (Tume ya Mipango) watembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Dawasa na mikakati ya kumaliza kero ya maji
MRADI wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu na mingine inayoendelea inatarajiwa kuleta ahueni kubwa ya huduma za maji katika jiji la Dar es Salaam mara itakapokamilika. Kaimu Mkurugenzi wa...
11 years ago
Habarileo15 Jul
Wanaswa kwa tuhuma ya kuiba maji ya Dawasa
WAKAZI watatu wa Dar es Salaam jana walikamatwa na polisi kwa tuhuma ya kujiunganishia maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kinyume cha sheria.