DENTI 'FORM FOUR' ALIYEFARIKI DUNIA SAA 3 KABLA YA MTIHANI
Yunis Festo enzi za uhai wake.
Stori: Mwandishi wetu GPL
NI SIMANZI! Msichana Yunis Festo aliyekuwa na umri wa miaka 18 akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Simba wa Yuda iliyoko katika Kijiji cha Bulima, wilaya ya Busega mkoani Simiyu, alifariki dunia ghafla, saa takriban tatu tu kabla ya kuanza mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari, alfajiri ya Jumatatu wiki hii.
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa Busega, mmoja wa walimu wa shule hiyo, Damian Kageba Lupimo alisema...
Vijimambo