DG WA PSPF AMTEMBELEA SPIKA OFISINI KWAKE KWA ZIARA YA KIKAZI
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Adam Mayingu aliyemtembelea ofisi kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa na Mkurugenzi mkuu wa PSPF Adam Mayingu alipomtembelea ofisi kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 4 Januari, 2014.(Picha na Ofisi ya Bunge)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwakilishi wa IFAD amtembelea Waziri Mifugo na Uvuvi ofisini kwake leo
Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimatifa la IFAD (International Fund for Agricultural Development) Ndugu Francisco Pichon (wa pili kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake Dodoma. Mwakilishi wa IFAD alikuwa akielezea maendeleo katika utekelezaji wa mradi wa kuchimba visima virefu vya maji kwa binadamu na mifugo unaofadhiliwa na IFAD katika Wilaya za Bahi, Chamwino, Kiteto na Kondoa....
11 years ago
MichuziBALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke alipokuwa akimfafanulia jambo wakati Balozi huyo na Naibu wake walipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani na Tanzania. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke wakati Balozi huyo na Naibu wake, John...
11 years ago
MichuziMtangazaji Maarufu,Tshaka Ssali amtembelea Mh. Lowassa ofisini kwake leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akizungumza na mtangazaji maarufu wa Kituo Cha runinga Cha Serikali ya Marekani (VOA),Tshaka Ssali aliemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.Ssali ambaye amejijengea umaarufu duniani kwa kuwahoji viongozi maarufu hususan wa Afrika, alimtembelea Mh Lowassa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akifurahi jambo wakati...
11 years ago
MichuziMkurugenzi Mkuu wa NHC Amtembelea Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Ofisini kwake
Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa na mazungumzo na Ndugu Nehemiah Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa NHC , alipomtembelea Ofisini kwake Dubai.
Mazungumzo yao yalihusu maandalizi ya kongamano la uwekezaji katika sekta ya nyumba litakalofanyika Jumeirah Madnat Hotel, Dubai. Kongamano hilo limeandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai kwa kushirikiana na Shirika la Taifa la Nyumba (NHC).
Makampuni makubwa ya sekta ya nyumba hapa Dubai...
Mazungumzo yao yalihusu maandalizi ya kongamano la uwekezaji katika sekta ya nyumba litakalofanyika Jumeirah Madnat Hotel, Dubai. Kongamano hilo limeandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai kwa kushirikiana na Shirika la Taifa la Nyumba (NHC).
Makampuni makubwa ya sekta ya nyumba hapa Dubai...
10 years ago
VijimamboBALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) pamoja na maofisa wa ubalozi huo, ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana.Waziri Chikawe na Balozi huyo walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya...
10 years ago
MichuziBALOZI WA VIETNAM AMTEMBELEA WAZIRI MIGIRO OFISINI KWAKE JIJINI DAR LEO
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na Balozi wa Vietnam nchini Bw. Vothanh Nam wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Januari 22, 2015). Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro na Balozi wa Vietnam nchini Bw. Vothanh Nam wakiwa ofisini kwa Waziri jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Januari 22, 2015). Balozi Nam alimtembelea Waziri Migiro ili kubadilishana mawazo. Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose...
10 years ago
MichuziBALOZI WA JAMHURI YA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI WA UJENZI OFISINI KWAKE JIJINI DAR
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Chung Il kuhusiana na mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Ujenzi pamoja na mchakato wa Ujenzi wa Daraja jipya litakalopita baharini pembezoni mwa daraja la Selander.Daraja hilo litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku. Ujenzi wa Daraja hilo utaanza muda wowote kuanzia sasa. Daraja hilo litakuwa na njia nne za magari pamoja service road...
11 years ago
MichuziBALOZI WA FINLAND NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI OFISINI KWAKE LEO
Balozi wa Finland Nchini Sinikka Antila akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mara baada ya kuwasili.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akisisitiza jambo katika kikao hicho. Kati ya masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Finland katika masuala ya teknolojia, uendelezaji wa rasilimaliwatu na usimamizi wa fedha.
Balozi wa Finland Nchini Sinikka Antila (kulia)...
10 years ago
GPLBALOZI WA JAMHURI YA KOREA AMTEMBELEA WAZIRI WA UJENZI OFISINI KWAKE JIJINI DAR
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Chung Il kuhusiana na mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Ujenzi pamoja na mchakato wa Ujenzi wa Daraja jipya litakalopita baharini pembezoni mwa darajala Selander.Daraja hilo litakuwa na urefu wa kilomita 7.2 na uwezo wa kupitisha magari zaidi ya 61,000 kwa siku.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania