Diamond agawa zawadi kwa watoto Dar Live!
Diamond Platinumz akiwasalimia mashabiki wake waliofika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kusherehekea sikukuu ya X-Mass.
Maasai Warriors wakifanya yao
Watoto wakijhiachia kuogelea.
Dogo akiimba wimbo mpya wa Diamond ” Utanipenda?” nakushinda zawadi ya sh. 10,000 aliyopewa na Diamond.
Diamond akipanda jukwaani.
Diamond akiwaburudisha watoto.
…akiendelea kuwaburudisha watoto.
.Dogo akionesha ujuzi wa kucheza nyimbo za Diamond jukwaani
Diamond akimkabidhi mtoto yule zawadi ya sh. 10,000 mara...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1.8.jpg?width=650)
MR UWAZI AGAWA ZAWADI DAR
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/3.Mr_.Championi-akizidi-kugawa-zawadi-kwa-wasomaji-wake-waliokutwa-wakisoma-Gazeti-la-Uwazi-Mizengwe-eneo-la-Stendi-ya-Bagamoyo.-001.jpg)
MR. UWAZI AGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE BAGAMOYO
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Alex Msama amwaga zawadi za Krismas kwa vituo vya watoto yatima jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati alipokabidhi msaada wa vyakula kwa vituo mbalimbali vya jijini Dar es salaam ikiwa ni zawadi yake ya sikukuu ya Krismas kwa vituo hivyo, Bw. Alex Msama amesema pia katika Tamasha la Pasaka litakalofanyika kesho wakati wa sikukuu ya Krismas mkoani Mbeya, kiasi cha fedha zitakazopatikana...
10 years ago
Michuzi25 Dec
ALEX MSAMA AMWAGA ZAWADI ZA KRISMAS KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/120.jpg)
11 years ago
GPL‘MR UWAZI’ AGAWA ZAWADI SABA SABA KWA WASOMAJI
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAGAWA ZAWADI ZA EIDD EL FITR KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa mtoto Sophia Said wa kituo cha Yatima cha Maunga cha Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni masandalizi ya Sikukuu ya Idd El Fitr.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vanfKzplWu9ZUEyP3pFU4RhYAJI8JY0*13Qazt8y6mp0yvM4Zxn6-wxQQokG7LjnYHvHnDUZQvJbyMlg-ysEg8JA4LRYnNJI/mwakampya6.jpg?width=650)
WATOTO WASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA KWA AINA YAKE DAR LIVE
9 years ago
GPLKUELEKEA UCHAGUZI MKUU MR. CHAMPIONI AGAWA ZAWADI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N4uoNoaVOlhjbdn4erUOw73fi7DA78RgD-uAGlhC8PYWOjSg7VMjOiBXa1NcK4mixutkEv*GrkQK0tKq081I08x/USIKUWAZAWADI.jpg?width=650)