DIAMOND AWATIA KIWEWE NELLY, CHRIS BROWN
![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxxp8mmTYzr55Y*w7vCgUFXYp8g8bHMQXsdrbNVPJ9whITcLV5PUzFA-kMixp-Rz8geiRrMunPiw1IuFgcOMyN*a/diamond.jpg?width=650)
Stori: Andrew Carlos na Musa Mateja Next level! Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya kweli kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameandika historia kwenye Tuzo za Black Entertainment Television (BET) 2014 huku akiwatia kiwewe mastaa wakubwa kama Cornell Iral Haynes ‘Nelly’, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ na wengine kibao. Diamond akisalimiana na Nelly. Tukio hilo lilijiri...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema23 Dec
Magufuli awatia kiwewe CCM
BAADHI ya wafanyabiashara kwa kushirikiana na sehemu ya viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduz
Mwandishi Wetu
11 years ago
Bongo531 Jul
Exclusive Audio: Diamond akirap kwenye beat ya ‘Show Me’ (Kid Ink f/ Chris Brown)
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi
10 years ago
Michuzi23 Jun
9 years ago
Bongo518 Sep
Video: Chris Brown — Zero
9 years ago
GPL03 Nov
9 years ago
Bongo528 Nov
New Video: Chris Brown – Fine By Me
![cb-fine-by-me](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/cb-fine-by-me-300x194.jpg)
Alitanguliza audio ya wimbo huu mpya ‘Fine By Me’ siku ya jana, na sasa Chris Brown ameachia video yake.
Video hii imeongozwa na Breezy mwenyewe.
‘Fine By Me’ ni wimbo utakaopatikana kwenye album yake mpya ‘Royalty’ ambayo sasa watu wameanza kuruhusiwa kuweka oda kupitia iTunes.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Nyumba ya Chris Brown yavamiwa