DK MERU AMPONGEZA MURUSURI NA KUMTAKA KUKISAMBAZA AFRIKA KITABU CHAKE CHA 'MAKING AFRICA WORLD'S LARGEST ECONOMY'.
![](https://1.bp.blogspot.com/-UqyGMvRGrBc/XkVqDM0zZ5I/AAAAAAABLsI/x1jupk9tq3IhUaYfCQ4QeJKVEMZvfhMuQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200213-WA0015.jpg)
KATIBU MKUU Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi za Wakurugenzi za OSHA na VIPIMO (Weights & Measures), Dkt. Adelhelm Meru (Kushoto), akipokea kitabu cha "MAKING AFRICA WORLD'S LARGEST ECONOMY" kutoka kwa mwandishi wa Kitabu hicho, Ndg. Derek Murusuri, jijini Dar es Salaam leo (13Feb., 2020). Kitabu hicho cha kwanza kuihakikishia Afrika, pasina shaka kuwa inaweza kuongoza uchumi wa dunia, kilizinduliwa mwezi uliopita (January, 2020) na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda.
Dk. Meru ambaye ...
Michuzi